Waziri wa viwanda,biashara na uwekezaji Mhe.
Charles Mwijage amesema serikali inaendelea kujenga uchumi wa Kitaifa(jumuishi)
ulio imara na wenye ushindani kuelekea uchumi wa kati ifikapo
2025 kwa kuanzia uzalishaji mashambani hadi sokoni.
Hayo ameyasema wakati...
Monday, October 29, 2018
Monday, October 29, 2018
WAZIRI MWIJAGE: SERIKALI INAENDELEA KUJENGA UCHUMI IMARA NA SHINDANI
Monday, October 29, 2018
MWIJAGE: VIWANDA VIDOGO, BIASHARA NDOGO VINA MCHANGO MKUBWA KATIKA UCHUMI, MAENDELEO, USTAWI WA NCHI
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amesema viwanda vidogo
na vya kati vina mchango mkubwa katika uchumi, maendeleo na ustawi wa nchi yoyote, kwa kuwa vinatoa ajira
kwa watu wengi ikilinganishwa na viwanda vikubwa hivyo havipashwi kubezwa kwa
namna yoyote.
Mhe.
Mwijage...
Saturday, October 27, 2018
Saturday, October 27, 2018
NAIBU WAZIRI MABULA ASHAURI WIZARA YA VIWANDA KUANZISHA KLINIKI NGAZI YA KANDA KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe. Angelina Mabula ameshauri Wizara ya Viwand, Biashara na Uwekezaji kuona
namna ya kuwa na Kliniki za Biashara ngazi ya kanda ili kuwasaidia wafanyabiashara
hususani wale wanaoanza, wajasiriamali wadogo na wasiojua taratibu za
uendeshaji wa biashara...
Saturday, October 27, 2018
NAIBU WAZIRI MABULA ATOA WITO WANANCHI SIMIYU KUCHANGAMKIA FURSA YA NYUMBA ZA SHIRIKA LA NYUMBA
Naibu waziri wa
ardhi ,nyumba na maendeleo ya makazi Mhe.Angelina Mabula ametoa wito kwa wakazi
wa mkoa wa SIMIYU kutumia fursa za nyumba za makazi zinazotarajiwa kujengwa
katika eneo la Isanga Mjini Bariadi na Shirika la Nyumba la Taifa
Wito huo ameutoa
mkoani Simiyu alipokutana na wadau mbalimbali...
Tuesday, October 23, 2018
Tuesday, October 23, 2018
WAZIRI MKUU MAJALIWA AITAKA SIDO KUPANUA WIGO KUWAFIKIA WAJASILIAMALI KUANZIA NGAZI YA CHINI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika
la viwanda vidogo nchini SIDO kuweka
mikakati ya kupanua wigo wa shughuli zake kwa kuanzisha vituo katika ngazi ya halmashauri
za wilaya ili kuwafikia wajasiliamali wengi zaidi, kuwajengea uwezo, kuwapa
miongozo bora ya namna ya kuendesha shughuli...