Tamasha kubwa la michezo ambalo hufanyika
kila mwaka Mkoani Simiyu (Simiyu Jambo Festival) linatarajiwa kufanyika Juni
30, mwaka huu katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi huku takribani
shilingi milioni 32 zikishindaniwa.
Akizungumza na waandishi wa
habari leo Juni 25, Mratibu wa tamasha...
Tuesday, June 25, 2019
Tuesday, June 25, 2019
ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 30 KUSHINDANIWA SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2019
Monday, June 24, 2019
Monday, June 24, 2019
RC MTAKA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI SIMIYU KUISAIDIA, KUILEA SEKTA BINAFSI

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewataka
viongozi wa Serikali mkoani Simiyu kuisaidia na kuilea Sekta Binafsi ili iendelee
kukua na wahakikishe kuwa maamuzi wanayofanya hayawi vikwazo katika mazingira ya biashara na uwekezaji.
Mtaka
ameyasema hayo wakati akifungua Warsha ya Utetezi...
Friday, June 21, 2019
Friday, June 21, 2019
TFDA YAFUNGUA OFISI YA KANDA MPYA YA ZIWA MASHARIKI SIMIYU
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imefungua rasmi Ofisi
ya Kanda mpya ya Ziwa Mashariki itakayohudumia mikoa ya Simiyu, Mara na
Shinyanga ambapo makao makuu ya kanda hiyo yatakuwa Mjini Bariadi mkoani Simiyu.
Akitoa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.
Anthony Mtaka, Kaimu Meneja wa TFDA...
Wednesday, June 19, 2019
Wednesday, June 19, 2019
UKAGUZI WA KINGA, TAHADHARI YA MOTO UFANYIKE KWENYE SHULE ZA BWENI KUEPUSHA MAJANGA: KAMISHNA JENERALI ANDENGENYE
Mkuu
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Kamishina Jenerali Thobias Andengenye
ameliagiza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kuendelea kufanya ukaguzi wa kinga
na tahadhari ya moto kwa shule zote za mabweni
nchini kujiridhisha ikiwa zimezingatia ushauri wa kitaalam katika...
Wednesday, June 19, 2019
TUZO YA SERENGETI HIFADHI BORA AFRIKA YATAMBULISHWA KWA WANANCHI SIMIYU NA MARA
Tuzo ya Serengeti Hifadhi Bora zaidi Afrika
imetambulishwa rasmi kwa wananchi wa mikoa ya Simiyu na Mara kutoka katika
maeneo yanayoizunguka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Akiitambulisha tuzo hiyo Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla Juni 18, 2019 katika Kijiji cha Robanda wilaya...