Mamia ya
wananchi kutoka mikoa ya Simiyu, Mara, Shinyanga, Mwanza na Dar es Salaam
wameshiriki katika mazishi ya mtoto wa Mkuu wa Majeshi marehemu Nelson Mabeyo aliyekuwa rubani wa
ndege ya Shirika la Auric Air, ambaye alifariki Septemba 23, 2019 kwa ajali ya
ndege iliyotokea katika Uwanja mdogo...
Friday, September 27, 2019
Friday, September 27, 2019
MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAJITOKEZA KUMZIKA MTOTO WA MKUU WA MAJESHI ALIYEFARIKI KWA AJALI YA NDEGE
Wednesday, September 25, 2019
Wednesday, September 25, 2019
UONGOZI WA MKOA SIMIYU WABAINI UBADHILIFU WA SHILINGI MILIONI 55 BUSEGA
Uongozi wa Mkoa
wa Simiyu umebaini Ubadhilifu wa kiasi cha
shilingi 55,580,000/= ambazo ni sehemu ya mkopo uliotolewa na Wizara ya
Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Urasimishaji
wa makazi Viwanja 3700 katika kata nne za Halmashauri ya Wilaya ya Busega
uliofanywa...
Friday, September 13, 2019
Friday, September 13, 2019
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA SIMIYU WAAPISHWA, WAASWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA MIONGOZO KUEPUSHA MALALAMIKO
Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za
Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kutoka katika Halmashauri sita za Mkoa wa
Simiyu wameapishwa Septemba 12, 2019 Mjini Bariadi, ambapo Katibu Tawala wa
Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amewataka wazingatie sheria, kanuni,
taratibu na miongozo katika uchaguzi...
Friday, September 13, 2019
MAAFISA WATAKAIWA KUTOA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA CHAKULA KUKABILIANA NA UTAPIAMLO
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu,
Bw. Jumanne Sagini akifungua Mkutano wa wadau wa lishe wa lengo la makabidhiano ya mradi mapambano dhidi
ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA (CUAMM)
ambalo limemaliza muda wake wa utekelezaji mkoani Simiyu.
Mkuu...
Wednesday, September 11, 2019
Wednesday, September 11, 2019
WANAFUNZI WA DARASA LA SABA SIMIYU WAAHIDI KUFANYA VIZURI MTIHANI WA TAIFA
Wanafunzi
wa darasa la saba katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu
wamemuahidi Mkuu wa mkoa Anthony Mtaka hawatamuangusha katika mtihani wa Taifa
Septemba 11-12, kwa kuwa wamejiandaa vizuri na wanaimani watafanya vizuri.
Wanafunzi
hao wa shule ya msingi Somanda...