Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu,
Bw. Jumanne Sagini akifungua Mkutano wa wadau wa lishe wa lengo la makabidhiano ya mradi mapambano dhidi
ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA (CUAMM)
ambalo limemaliza muda wake wa utekelezaji mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya
ya Itilima, Mhe. Benson Kilangi akichangia hoja katika Mkutano
wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la makabidhiano ya mradi mapambano dhidi
ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM
ambalo limemaliza muda wake wa utekelezaji mkoani Simiyu.
Meneja
wa mradi wa DOCTORS WITH AFRICA Mkoani Simiyu, Bi. Fortihappiness Mumba akiwasilisha taarifa ya
mradi huo katika Mkutano wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini
Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la
makabidhiano ya mradi mapambano dhidi ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la
kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM ambalo limemaliza muda wake wa
utekelezaji mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya
ya Maswa, Mhe. Dkt. Seif Shekalaghe
akichangia hoja katika Mkutano wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini
Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la
makabidhiano ya mradi mapambano dhidi ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la
kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM ambalo limemaliza muda wake wa
utekelezaji mkoani Simiyu.
Afisa Lishe wa mkoa wa Simiyu Dkt. Chacha Magige, akiwasilisha taarofa
ya hali ya lishe ya mkoa, katika Mkutano
wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la makabidhiano ya mradi mapambano dhidi
ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM
ambalo limemaliza muda wake wa utekelezaji mkoani Simiyu.
Baadhi ya wadau
wa lishe wakifuatilia Mkutano wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini
Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la
makabidhiano ya mradi mapambano dhidi ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la
kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM ambalo limemaliza muda wake wa
utekelezaji mkoani Simiyu.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu,
Bw. Jumanne Sagini (katikati) akiwa katika picha pamoja na wadau wa lishe mkoa
wa Simiyu mara baada ya kufungua Mkutano wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini
Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la
makabidhiano ya mradi mapambano dhidi ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la
kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM ambalo limemaliza muda wake wa
utekelezaji mkoani Simiyu.
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini (katikati) akiwa katika picha
pamoja na wadau wa lishe mkoa wa Simiyu mara baada ya kufungua Mkutano wa wadau
wa lishe, uliofanyika Mjini Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la makabidhiano ya mradi mapambano dhidi
ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM
ambalo limemaliza muda wake wa utekelezaji mkoani Simiyu.
Baadhi ya wadau
wa lishe wakifuatilia Mkutano wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini
Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la
makabidhiano ya mradi mapambano dhidi ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la
kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM ambalo limemaliza muda wake wa
utekelezaji mkoani Simiyu.
Baadhi ya wadau
wa lishe wakifuatilia Mkutano wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini
Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la
makabidhiano ya mradi mapambano dhidi ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la
kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM ambalo limemaliza muda wake wa
utekelezaji mkoani Simiyu.
Baadhi ya wadau
wa lishe wakifuatilia Mkutano wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini
Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la
makabidhiano ya mradi mapambano dhidi ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la
kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM ambalo limemaliza muda wake wa
utekelezaji mkoani Simiyu.
Mkazi wa Bariadi, Bw. Richard Singi
akishuhudia namna tiba lishe ilivyomsaidia mwanae Penina Richard ambaye alipata
utapiamlo mkali kurudi kwenye hali yake ya kawaida, katika Mkutano
wa wadau wa lishe, uliofanyika Mjini Bariadi Septemba 10, 2019 kwa lengo la makabidhiano ya mradi mapambano dhidi
ya utapiamlo kutoka Shirika lisilo la kiserikali la DOCTORS WITH AFRICA-CUAMM
ambalo limemaliza muda wake wa utekelezaji mkoani Simiyu.
0 comments:
Post a Comment