Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Kusaya amesema Serikali itahakikisha madeni yote ya Vyama vya ushirika vya Msingi(AMCOS), wakulima, ushuru wa Halmashauri na Vyama Vikuu vya Ushirika (UNIONS) kwa zao la pamba ambayo bado hayajalipwa yanalipwa kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa mwaka 2020.
Kusaya...
Thursday, April 30, 2020
Thursday, April 30, 2020
MADENI YA PAMBA KULIPWA KABLA YA MSIMU MPYA : KATIBU MKUU KILIMO
Saturday, April 25, 2020
Saturday, April 25, 2020
UONGOZI MASWA WATAKIWA KUMSIMAMIA MKANDARASI UJENZI WA VIWANDA VIKAMILIKE KWA WAKATI
Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga ameutaka uongozi wa Wilaya ya Maswa
kumsimamia Mkandarasi SUMA JKT anayejenga kiwanda cha chaki na kiwanda cha vifungashio wilayani humo ili
akamilishe ujenzi wa viwanda hivyo kwa wakati ili vianze uzalishaji.
Nyamhanga ameyasema
hayo...
Saturday, April 25, 2020
SERIKALI YATENGA BILIONI MOJA KUJENGA WODI HOSPITALI ZA WILAYA, UNUNUZI VIFAA TIBA
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi. Joseph
Nyamuhanga amesema Serikali katika Bajeti ya mwaka 2020/2021 Serikali imetenga
kiasi cha shilingi bilioni moja kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na ujenzi wa
wodi tatu katika kila Hospitali ya Wilaya kwenye Hospitali 67 za Wilaya
zilizojengwa...
Wednesday, April 22, 2020
Wednesday, April 22, 2020
JBS FUEL COMPANY YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE UALBINO BUSEGA KUKABILI CORONA

Mkurugenzi wa
Kampuni ya JBS Fuel Company Limited ya Mjini Bariadi, Bi. Lucy Sabu ametoa
msaada chakula na vifaa mbalimbali vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona,
katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu cha Bikira Maria
kilichopo Lamadi wilayani Busega.
Akizungumza
wakati...
Saturday, April 18, 2020
Saturday, April 18, 2020
WATU 34 WARUHUSIWA KUTOKA KARANTINI MKOANI SIMIYU
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amesema kuwa
jumla ya watu 34 kati ya watu 120 waliokuwa kwenye uangalizi maalum (Karantini)
mkoani Simiyu wameruhusiwa mara baada ya kupimwa na kukutwa hawana maambukizi
ya Virusi vya Corona vinavyosababisha homa kali ya mapafu (COVID-19).
Mtaka...