Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi. Joseph
Nyamuhanga amesema Serikali katika Bajeti ya mwaka 2020/2021 Serikali imetenga
kiasi cha shilingi bilioni moja kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na ujenzi wa
wodi tatu katika kila Hospitali ya Wilaya kwenye Hospitali 67 za Wilaya
zilizojengwa hapa nchini.
Mhandisi Nyamhanga ameyasema hayo wakati
alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya
Wilaya Bariadi iliyopo kata ya Dutwa ambapo
ameoneshwa kuridhishwa na kazi ya ujenzi inayoendelea.
Aidha,
Nyamhanga ameziagiza Halmashauri 30 nchini zilizohamia katika maeneo mapya
kiutawala pamoja na mikoa mipya kuanza maandalizi ya mchakato wa manunuzi kwa
ajili ya ujenzi wa Majengo ya Utawala ili kufikia Desemba 31, 2020 Halmashauri
hizo na mikoa mipya ziwe zimekamilisha ujenzi wa Majengo ya utawala.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga(kushoto) akikagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Halmashauri ya
Wilaya ya Bariadi iliyopo kata ya Dutwa wakati wa ziara yake Aprili 23, 2020
mkoani Simiyu.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga akizungumza na viongozi wa Wilaya ya Bariadi na Mkoa wa Simiyu(hawapo
pichani mara baada ya kutembelea hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
iliyopo kata ya Dutwa wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23, 2020.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga(kushoto) akikagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Halmashauri ya
Wilaya ya Bariadi iliyopo kata ya Dutwa wakati wa ziara yake Aprili 23, 2020
mkoani Simiyu.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga(mwenye suti nyeusi kulia) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
Mhe. Anthony Mtaka (kushoto) wakati akikagua hospitali ya Halmashauri ya Wilaya
ya Bariadi iliyopo kata ya Dutwa wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23,
2020.
Baadhi ya majengo katika Hospitali ya Halmashauri
ya Wilaya ya Bariadi
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga akiwa na viongozi wa Wilaya ya
Bariadi na Mkoa wa Simiyu alipotembelea hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
iliyopo kata ya Dutwa wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23, 2020.
Meneja wa TARURA Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mhandisi. Mathias Mugolozi
akitoa taarifa ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Kisasa cha Mjini Bariadi kwa Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga(kulia), alipotembelea
kituo hicho wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23, 2020.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga (kulia) akipokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa
Jengo la Utawala la Halmashauri ya Mji wa Bariadi katika eneo la Nyaumata wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23,
2020.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini
akitoa maelezo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga katika eneo la Nyaumata wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23,
2020.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini
akitoa maelezo ya ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Kisasa cha Mjini Bariadi kwa Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23,
2020.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Bw. Melkizedeck
Humbe akitoa taarifa ya mtanadao wa
barabara za lami za mjini Bariadi kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi
Joseph Nyamhanga wakati wa ziara yake
Mkoani Simiyu Aprili 23, 2020.
Sehemu ya mtandao wa bara bara za lami katika Mji wa
Bariadi.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga (kulia) akiwa na viongozi wa Wilaya ya Bariadi na Mkoa wa Simiyu alipotembelea hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi iliyopo kata ya Dutwa wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23, 2020.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini
akitoa maelezo ya ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Kisasa cha Mjini Bariadi kwa Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23,
2020.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga (wa pili kulia) akikagua ujenzi wa kituoa cha
mabasi Bariadi akiwa na viongozi wengine wa Wilaya ya Bariadi na Mkoa
wa Simiyu wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23, 2020.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga (wa tatu kushoto) na viongozi wa wengine wa Mkoa wa Simiyu
wakiondoka eneo la Nyaumata baada ya kupokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa
Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika eneo la Nyaumata wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23,
2020.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza jambo mara tu Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga (wa tatu kushoto) alipowasili ofisi kwake mjini Bariadi kwa
ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja Aprili 23, 2020.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga akiwa na viongozi wa Wilaya ya
Bariadi na Mkoa wa Simiyu alipotembelea hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
iliyopo kata ya Dutwa wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu Aprili 23, 2020.
Mratibu wa TARURA Mkoa, Dkt. Eng. Philimon Msomba (kushoto)
akitoa taarifa juu ya ujenzi wa Megesho ya malori ya mji wa Bariadi kwa Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga akiwa na viongozi wa Wilaya ya Bariadi na Mkoa wa
Simiyu alipotembelea hospitali ya
Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi iliyopo kata ya Dutwa wakati wa ziara yake
Mkoani Simiyu Aprili 23, 2020.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph
Nyamhanga(mwenye suti nyeusi kushoto) akikagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Halmashauri ya
Wilaya ya Bariadi iliyopo kata ya Dutwa wakati wa ziara yake Aprili 23, 2020
mkoani Simiyu.
0 comments:
Post a Comment