Thursday, November 25, 2021

HALMASHAURI ZOTE IGENI MKOA WA SIMIYU-NAIBU WAZIRI (AFYA) TAMISEMI

Wito huo umetolewa leo na Mhe.Dkt.Festo Dungage NaibuWaziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilkali za Mitaa (TAMISEMI-AFYA), mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya uviko 19 Mkoa wa Simiyu. Mhe.Dugange,amepongeza Sekretarieti...

Wednesday, November 24, 2021

Wilaya ya Bariadi, Yapongezwa kwa Kupata Leseni ya Kuchimba Madini

Washiriki wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wakati wa kikaoMkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.David Kafulila akizungumza na Washiriki wa kikao cha kuwapongeza Wanabariadi kwa kupata leseni ya Kuchimba MadiniWashiriki wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila amempongeza...

RC. Kafulila - Ampongeza Mmiliki wa Kiwanda cha Kuchambua na Kusafisha dhahabu - ELIFRA INVESTMENT LIMITED.

Mhe.Kafulila,amempongeza mjasiliamali Frank Malima, ambaye ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambua na kusafisha dhahabu cha ELIFRA INVESTMENT LIMITED. Pongezi hizo zilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu akiwa ameambatana na Viongozi wengine wa Mkoa mara alipotembelea kiwanda cha kuchambua na kusafisha...

Tuesday, November 23, 2021

RC. Kafulila Aridhishwa na Ujenzi wa Madarasa ya Uviko-19 - Wilayani Bariadi

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.David Kafulila amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mhe. Lupakisyo Kapange, Mkurugenzi wa Bariadi  Bw.Khalid Mwalami na timu yake pamoja na viongozi wa shule alizozikagua kwa usimamizi mahiri. Mhe Kafulila alitoa pongezi hizo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo...

Sunday, November 21, 2021

"Bodi Ya Pamba, AMCOS, SIMCU Saidieni Wakulima Wa Pamba"-RC- Kafulila

Taasisi nyingi ambazo zimekuwa zikipata fedha kupitia ushuru wa Pamba, zimeshindwa kuwasadia wakulima na badala yake wanaonufaika ni viongozi kupitia fedha zinazotokana na Pamba ya wakulima. Hali hii imepelekea wakulima wengi nchini wakiwemo wanaozalisha Pamba, kuchukia ushirika licha ya kulazimishwa...

Saturday, November 20, 2021

"Tokeni Maofisini Nendeni Site Mkaangalie Hali ya Ujenzi" - RC. KAFULILA

Mkuu wa Mkoa Wa Simiyu Mhe. David Kafulila akitembelea Miradi ya Ujenzi wa Shule za Miradi ya Uviko-19Mkuu wa Mkoa Mhe. Kafulila akikagua kiasi cha Zege Mkuu wa Mkoa Akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya Itilima Mhe. Faiza SuleimanMkuu wa Mkoa akiwa ameambataka na viongozi mbalimbali wakikagua miradi...

Thursday, November 18, 2021

UZINDUZI WA UGAWAJI PIKIPIKI KITAIFA KWA MAAFISA UGANI KATIKA MIKOA INAYOZALISHA MAZAO KIMKAKATI, WAFANYIKA MKOANI SIMIYU.

Akizungumza,Mkurugenzi mkuu Bodi ya Pamba, Bw. Marco Mtunga alitoa shukrani kwa Waziri wa kilimo Mhe. Adolf Mkenda kwa kukubali kuhudhuria zoezi la ugawaji wa pikipiki. Pongezi kwa mkoa wa Simiyu kwa kuzalisha zaidi ya asilimia 61 ya pamba yote nchini msimu huu wa kilimo.Tatizo la msingi katika...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!