Tuesday, March 17, 2020

SIMIYU YAFUNGA KAMBI YA KITAALUMA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umefunga kambi ya Kitaaluma kwa wanafunzi wa kidato cha Sita iliyokuwa ikifanyika katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Maswa , ikiwa ni sehemu ya tahadhari dhidi ya Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona. Akifunga kambi hiyo, Katibu Tawala wa Mkoa wa...

Wednesday, March 11, 2020

UNUNUZI MAZAO MCHANGANYIKO KUPITIA AMCOS UTAWAKOMBOA WAKULIMA: DC BARIADI

Mkuu wa wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga amesema  mfumo wa ununuzi wa mazao mchanganyiko kupitia vyama vya msingi vya Ushirika ( AMCOS) utakaoanza kutekelezwa mwaka huu 2020 umelenga kuwakomboa wakulima na  kuwawezesha kupata soko la uhakika  lenye ushindani pamoja na kuwaondoa...

Monday, March 9, 2020

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KILELE MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KITAIFA MKOANI SIMIY

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaongoza wananchi katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniania ambayo yamefanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu. Maadhimisho haya yenye Kauli Mbiu “Kizazi cha Usawa Kwa Maendeleo...

MAPATO YATAKAYOTOKANA NA STENDI BARIADI YAKAFANYE KAZI ZA WANANCHI: MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema wafanyabiashara watakaopangishwa katika jengo la Stendi ya Kisasa ya Mji wa Bariadi inayojengwa sasa pale itakapokamilika, wahakikishe wanalipa kodi na mapato hayo yatumike katika shughuli za maendeleo ya wananchi...

MAKAMU WA RAIS AAGIZA TTCL KUPELEKA MKONGO WA TAIFA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan ameagiza Shirika la Mawasiliano nchini TTCL kufikisha mkongo wa Taifa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu ili vifaa vinavyotumika kutoa huduma vinavyowezeshwa na Mtandao wa Intanenti viweze kufanya kazi yake sawa. Mhe....

MAKAMU WA RAIS AWATAKA WANANCHI KUKILINDA CHUO CHA IFM SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wananchi wa Kijiji cha Sapiwi wilayani Bariadi kuwa walinzi wa Tawi jipya la Kanda ya Ziwa la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) linalojengwa katika eneo hilo. Mhe. Makamu wa Rais ametoa rai hiyo Machi 06, 2020 wakati...

MAKAMU WA RAIS AWAONYA WANANCHI WASITUNZE FEDHA MAJUMBANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi wa Wilayani ya Busega kutokaa na fedha majumbani badala yake watumie Taasisi za kifedha kutunza fedha zao kwa ustawi wa maisha yao na Usalama wa Fedha zao. Mhe. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akifungua...

WAZIRI WA AFYA AZITAKA HALMASHAURI KUTENGA ASILIMIA 10 YA VIKUNDI

Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kitaifa amabyo yatafanyika Bariadi Mkoani Simiyu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu amezitaka Halmashauri zote ambazo hazijatenga asilimia kumi ya mapato ya ndani ambayo ni fedha kwa ajili Wanawake, vijana...

BASHEAZINDUA MKAKATI WA MAPINDUZI YA KILIMO SIMIYU

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amezindua Mkakati wa Mapinduzi ya Kilimo cha Pamba wa miaka mitano (2019-2024) Mkoa wa Simiyu na kuwahimiza wakulima wote kufungua akaunti za benki kwa kuwa katika msimu ujao Wakulima watalipwa fedha zao kupitia mfumo wa benki ili kudhibiti matumizi mabaya...

Monday, March 2, 2020

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KITAIFA MKOANI SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yatafanyika katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu. Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!