Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema
wafanyabiashara watakaopangishwa katika jengo la Stendi ya Kisasa ya Mji wa
Bariadi inayojengwa sasa pale itakapokamilika, wahakikishe wanalipa kodi na
mapato hayo yatumike katika shughuli za maendeleo ya wananchi na kuitunza
stendi hiyo.
Mhe. Makamu wa Rais
ametoa agizo hilo wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la stendi hiyo Mjini
Bariadi.
0 comments:
Post a Comment