Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kinatarajia
kujenga Tawi jipya katika Kata ya Sapiwi Tarafa ya Dutwa wilayani Bariadi
Mkoani Simiyu.
Viongozi wa chuo hicho wakiongozwa na Makamu Mkuu wa
Chuo hicho, Prof. Tadeo Andrew Satta wametembelea eneo hilo leo Machi 26, 2019
na baadaye kufanya mazungumzo...
Tuesday, March 26, 2019
Tuesday, March 26, 2019
IFM KUJENGA TAWI JIPYA SIMIYU
Tuesday, March 26, 2019
SIMIYU YAKISIWA KUTUMIA SHILINGI 175,260,331 KATIKA BAJETI YA MWAKA 2019/2020
Sekretarieti ya Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa
Mkoani Simiyu zimekisia kutumia jumla ya shilingi 175,260,331/= kwa ajili
ya miradi ya maendeleo, mishahara na matumizi mengineyo.
Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini Machi 15, 2019 wakati...
Saturday, March 16, 2019
Saturday, March 16, 2019
DARAJA LA SIBITI KUKAMILIKA MACHI 24 MWAKA HUU
Meneja
wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Simiyu, Mhandisi. Albert Kent amesema Ujenzi
wa Daraja la Mto Sibiti linalounganisha Mikoa ya Simiyu na Singida unatarajiwa
kukamilika kwa awamu ya kwanza na magari kuanza kupita ifikapo Machi 24, mwaka huu.
Kent
ameyasema hayo jana Machi 14, 2019...
Saturday, March 16, 2019
RAS SIMIYU AWATAKA WATUMISHI SIMIYU KUWA MABALOZI WEMA WA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Bw.
Jumanne Sagini amewataka watumishi wa Umma mkoani humo kuwa mabalozi wema wa
maadili ya utumishi wa umma katika maeneo ya kazi ikiwa ni pamoja na kutopokea
zawadi kwa wananchi wanaowahudumia kwa kuwa wanalipwa mshahara na Serikali kwa
kazi hizo.
Sagini ameyasema...
Friday, March 15, 2019
Friday, March 15, 2019
ASILIMIA 80 YA WANANCHI SIMIYU KUTUMIA BIMA YA AFYA
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.
Anthony Mtaka amesema mkoa huo umejiwekea malengo ya kuhakikisha zaidi ya
asilimia 80 ya wananchi wake kuwa na kadi za bima ya afya ili kujihakikishia upatikanaji
wa huduma za matibabu katika vituo vya
kutolea huduma za afya hapa nchini.
.
Mtaka ameyasema hayo...