Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka
amewahakikishia waumini na viongozi wa madhehebu ya dini mkoani hapa kuwa
viongozi wa serikali wako pamoja nao na wataendelea kushirikiana na kila
watakapo wahitaji .
Mtaka ameyasema hayo jana Mei 30, 2019 katika futari
aliyoiandaa kwa waumini na viongozi...
Friday, May 31, 2019
Wednesday, May 29, 2019
Wednesday, May 29, 2019
MWENGE WA UHURU WAHITIMISHA MBIO ZAKE MKOANI SIMIYU ASILIMIA 97 YA MIRADI YAKUBALIWA
Mwenge wa Uhuru umemaliza mbio zake leo Mkoani
Simiyu na kukabidhiwa katika Mkoa wa Mara, ambapo miradi 33 kati 34 sawa na
asilimia 97 ya miradi iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri zote
sita imekubaliwa na kuzinduliwa, kukaguliwa, kuonwa na kuwekewa mawe ya msingi.
Akitoa taarifa kabla...
Wednesday, May 29, 2019
WANANCHI 17,084 KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA VIPIMO IGALUKILO BUSEGA
Jumla ya Wananchi 17,084 wa kata ya Igalukilo na Vijiji jirani
wilayani Busega wanatarajia kunufaika na huduma za vipimo mbalimbali vya afya
na kupunguza umbali wa kupata huduma hiyo mara baada ya kukamilika kwa Jengo la
Maabara linalojengwa katika Kituo cha Afya cha Igalukilo
Hayo yamebainishwa...
Wednesday, May 29, 2019
WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA DARAJA BARIADI
Wananchi wa Vijiji vya Ikinabushu na Isuyu wilayani Bariadi wameishukuru Serikali kwa kuwajengea daraja ambalo limerahisisha mawasiliano na usafirishaji wa abiria, mazao na mizigo kutoka Ikinabushu-Isuyu-Dutwa-Bariadi na Lamadi.
Shukrani hizo zimetolewa mara baada ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge...
Wednesday, May 29, 2019
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2019 AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA DKT. BALELE MAJAHIDA
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2019, Ndg. Mzee
Mkongea Ali akiweka jiwe la msingi katika Madarasa sita ya Shule ya Sekondari
tarajiwa ya Dkt. Yohana Balele iliyopo Majahida Mjini Bariadi,wakati wa mbio za
mwenge wa uhuru mjini Bariadi Mei 25, 2019.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge...
Wednesday, May 29, 2019
WANANCHI ZAIDI YA 300,000 KUNUFAIKA NA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA
Jumla
ya wakazi 346,365 wa Wilaya ya Itilima na maeneo ya jirani wanatarajia
kunufaika na ujenzi wa mradi wa hospitali ya Wilaya ya Itilima inayotarajiwa
kukamilika Juni 30 mwaka 2019.
Mradi
huo wenye lengo la kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya na kusogeza karibu
huduma hiyo kwa wananchi...