Benki ya CRDB imekabidhi mfano wa hundi ya shilingi
milioni 60 kama mchango wa udhamini wa Maonesho ya Nanenane Kitaifa mwaka 2020
yanayofanyika katika Viwanja vya
Nyakabindi Bariadi Simiyu, Kanda ya Ziwa Mshariki inayoundwa na mikoa ya
Simiyu, Mara na Shinyanga kuanzia 01 Agosti, 2020 mpaka 08...
Friday, July 31, 2020
Friday, July 31, 2020
CRDB YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 60 UDHAMINI WA NANENANE KITAIFA 2020 SIMIYU
Thursday, July 30, 2020
Thursday, July 30, 2020
NMB YATOA MILIONI 42.5 KUCHANGIA MAONESHO YA NANENANE SIMIYU
Benki ya NMB imetoa shilingi milioni 42.5 kwa ajili ya kudhamini Maonesho ya Nanenane Kitaifa mwaka 2020 yatakayofanyika katika kanda ya Ziwa Mashariki Viwanja vya Nyakabindi Bariadi mkoani Simiyu kuanzia Agosti 01 hadi Agosti 08, 2020.
Akikabidhi mfano wa hundi ya fedha hizo Julai...
Wednesday, July 29, 2020
Wednesday, July 29, 2020
RC MALIMA: TUNAWAKARIBISHA WANANCHI KUJIONEA NANENANE KITAIFA 2020 YA KIWANGO

Mkuu wa Mkoa wa Mara,
Mhe. Adam Kighoma Malima ametoa wito wananchi wa mikoa ya Simiyu, Mara,
Shinyanga na maeneo mengine nchini kafika katika maonesho ya Nanenane Kitaifa
mwaka 2020 yatakayofanyika Viwanja vya Nyakabindi Bariadi Mkoani Simiyu katika
Kanda ya Ziwa Mashariki inayoundwa na mikoa ya...
Tuesday, July 28, 2020
Tuesday, July 28, 2020
RC MALIMA: TUNAWAKARIBISHA WANANCHI KUJIONEA NANENANE KITAIFA 2020 YA KIWANGO

Mkuu
wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Kighoma Malima ametoa wito wananchi wa mikoa ya
Simiyu, Mara, Shinyanga na maeneo mengine nchini kafika katika maonesho ya Nanenane
Kitaifa mwaka 2020 yatakayofanyika Viwanja vya Nyakabindi Bariadi Mkoani Simiyu
katika Kanda ya Ziwa Mashariki inayoundwa na mikoa ya...
Wednesday, July 22, 2020
Wednesday, July 22, 2020
TACAIDS YAKABIDHI MASANDUKU 10 YA KUCHANGIA FEDHA ZA KUBORESHA HUDUMA ZA VVU NA UKIMWI SIMIYU
Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI imekabidhi masanduku 10 kutoka
Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi kwa Mkoa wa Simiyu ili yatumike kwa ajili
ya kuhamasisha uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za VVU na
UKIMWI.
Akikabidhi masanduku hayo Mkurugenzi wa TACAIDS Dkt. Leonard
Maboko...
Sunday, July 19, 2020
Sunday, July 19, 2020
SIMIYU YAJIPANGA KUONGEZA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA UGANI KUONGEZA TIJA KWENYE UZALISHAJI WA PAMBA
Katika kutekeleza mpango Mkakati wa Mapinduzi ya
Kilimo cha Pamba wa miaka mitano (2019-2024) wa Mkoa wa Simiyu, mkoa unakusudia
kuongeza hali ya upatikanaji wa huduma za ugani kwa lengo la kuongeza tija
katika uzalishaji kutoka kilo 175 kufikia kilo 600 kwa ekari ifikapo mwaka
2024.
Hayo
yamebainishwa...