Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.
Anthony Mtaka amesema Kambi za Kitaaluma mkoani Simiyu kwa wanafunzi wa darasa
la saba, kidato cha nne na kidato cha Sita, ambayo ni madarasa yanayofanya Mitihani
ya Taifa ya kuhitimu elimu ya Msingi na Sekondari zitakuwa endelevu.
Mtaka amesema hayo Aprili 28,
2019...
Sunday, April 28, 2019
Sunday, April 28, 2019
RC MTAKA: KAMBI ZA KITAALUMA SIMIYU ZITAKUWA ENDELEVU
Friday, April 26, 2019
Friday, April 26, 2019
KATIBU MTENDAJI NECTA AWAASA KIDATO CHA SITA KUTOJIHUSHA NA UDANGANYIFU MTIHANI WA TAIFA
Katibu MTENDAJI wa Baraza la Taifa la
Mitihani Tanzania (NECTA) amewataka wanafunzi wa kidato cha sita nchini, wanaotarajia kufanya mtihani wao wa mwisho mapema mwezi Mei, 2019 kuepuka aina
yoyote ya udanganyifu kwenye mtihani huo.
Dkt. Msonde ameyasema hayo wakati
akiongea na wanafunzi wa kidato...
Friday, April 26, 2019
RAS SIMIYU AWATAKA WAGANGA WAKUU, MAAFISA LISHE KUWASILISHA MPANGO KAZI WA LISHE
Katibu Tawala Mkoa wa
Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amewaagiza Maafisa Lishe na waganga wakuu wa wilaya
mkoani hapa kufikia mwisho wa mwezi huu wa Aprili 2019, wawasilishe mpango kazi
wa lishe unaoainisha lishe inayoweza kuandaliwa kwa kutumia vyakula
vinavyopatikana katika mazingira ya mkoa huu, ili...
Sunday, April 21, 2019
Sunday, April 21, 2019
WAZIRI KAIRUKI ATOA WITO KWA WAWEKEZAJI WAZAWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO NCHINI NA KUSAJILI MIRADI YA UWEKEZAJI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia
Uwekezaji, Mhe. Angela Kairuki ametoa
wito kwa chama cha wanataaluma na wajasiriamali wa Kanisa la Waadventista
Wasabato Tanzania (ATAPE) na wawekezaji
wengine wazawa kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini na
kusajili...