Wizara ya Mifugo na Uvuvi
kupitia idara ya ukuzaji viumbe majini imetoa
vifanga vya samaki aina ya sato zaidi ya 7000 kwa wananchi wa Kata ya
Mwamapalala yenye vijiji vitano wilayani Itilima, ili kupandikiza katika Bwawa
la Mwamapalala, ili kuwapatia kipato na lishe bora.
Baadhi ya wananchi wa Mwamapalala na Afisa Uvuvi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Juma Kazula wakipandikiza samaki atika Bwawa la Mwamapalala
0 comments:
Post a Comment