Friday, April 26, 2019

RAS SIMIYU AWATAKA WAGANGA WAKUU, MAAFISA LISHE KUWASILISHA MPANGO KAZI WA LISHE


Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini amewaagiza Maafisa Lishe na waganga wakuu wa wilaya mkoani hapa kufikia mwisho wa mwezi huu wa Aprili 2019, wawasilishe mpango kazi wa lishe unaoainisha lishe inayoweza kuandaliwa kwa kutumia vyakula vinavyopatikana katika mazingira ya mkoa huu, ili waweze kutoa elimu ya lishe bora kwa wananchi na kukabiliana na utapiamlo.

Sagini ameyasema hayo katika katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Jumanne Sagini akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Lishe mkoa na wadau wa lishe katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.

Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Mageda Kihulya  akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Lishe mkoa na wadau wa lishe katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Afisa Lishe Mkoa wa Simiyu, Dkt. Chacha Magige akiwasilisha taarifa ya lishe ya mkoa katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Dkt.Sylvester Nandi kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Nutrition International akiwasilisha taarifa yake katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Afisa Mradi wa Right Start Initiative kutoka AMREF Bi. Yasinta Bahati akiwasilisha taarifa ya mradi huo kwa wajumbe wa kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Mtaalam kutoka Programu ya USAID  Boresha Afya akiwasilisha taarifa ya mradi huo kwa wajumbe wa kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Meatu, Dkt...... akichangia jambo katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi..
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini(katikati  walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Lishe mkoa na wadau wa lishe baada ya  kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo (CCT) Mkoa wa Simiyu, Mchungaji Martin Nketo akichangia hoja katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Sheikh wa Mkoa wa Simiyu, Mahamoud Kalokola akichangia hoja katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Lishe mkoa na wadau wa lishe wakiwa katika  kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.
Meneja Mradi CUAMM, Bi. FortHappiness Mumba akiwasilisha taarifa ya mradi  hoja katika kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa na Kamati tendaji  ya Mkoa ya uendeshaji wa mradi wa lishe wa Right Start Initiative, kilichofanyika Aprili 25, 2019 Mjini Bariadi.

0 comments:

Post a Comment

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!