Serikali mkoani Simiyu imesema
imekusudia kuiimarisha shule ya Sekondari ya Bariadi ambayo ilitengwa kuwa
Shule ya Michezo, kwa kujenga mabweni ya wanafunzi wa kike na wa kiume na
kuiwekea miundombinu yote muhimu, ikiwemo viwanja vya michezo yote kwa
lengo la kuibua na kukuza vipaji vya wanafunzi.
Hayo...
Thursday, May 31, 2018
Thursday, May 31, 2018
SIMIYU YAJIPANGA KUIIMARISHA SHULE YA SEKONDARI BARIADI KAMA SHULE MAALUM YA MICHEZO
Thursday, May 31, 2018
MASWA WARIDHIA KAYA KUCHANGIA SHILINGI ELFU 50 KWA MWAKA KWA AJILI YA MAENDELEO
Viongozi wa wananchi, wenyeviti wa vitongoji na vijiji 120 vya
wilaya ya Maswa mkoani Simiyu wameridhia mchango wa shilingi elfu hamsini kila
kaya kwa ajili ya shughuli za maendeleo ambao utatolewa kwa mwaka, ambapo baada
ya kaya kutoa mchango huo hazitachangia mchango mwingine wowote.
Hayo wameyasema...
Saturday, May 26, 2018
Saturday, May 26, 2018
KAMATI NA BODI ZA SHULE ZATAKIWA KUJIUZULU SHULE ZINAPOFANYA VIBAYA KWENYE MITIHANI

Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka amesema wakati umefika kwa kamati na bodi
za Shule mkoani humo kujitathmini ikiwa zinafaa kuendelea na majukumu yao au
kujiuzulu pale Shule zao zinapofanya vibaya katika mitihani hususani ya Taifa.
Mtaka
ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wenyeviti...
Saturday, May 26, 2018
RC MTAKA:TUTAWALINDA NA KUWATUNZA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE, DARASA LA SABA WATAKAOKAA KAMBI ZA KITAALUMA MWEZI JUNI

Mkuu wa
Mkoa wa Simiyu, mhe.Anthony Mtaka amewahakikishia wazazi wote mkoani humo kuwa
Serikali itawalinda na kuwatunza watoto wote kwa muda wa siku zote watakaokuwa
katika Kambi za Kitaaluma kwa Kidato cha Nne na Darasa la Saba, ambazo zinazotarajiwa
kuanza rasmi mapema mwezi Juni mwaka huu kwa mkoa...
Saturday, May 26, 2018
CHUO CHA MIPANGO WASHUKURU UONGOZI MKOA WA SIMIYU KWA KUWAPA ENEO LA KUJENGA TAWI LAO MJINI BARIADI

Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango Dodoma limeushukuru ,
uongozi wa Mkoa wa Simiyu kwa kukubali kutoa eneo la ekari 50 bure kwa ajili ya
ujenzi wa Tawi jipya la chuo hicho , katika Kata ya Nyakabindi Halmashauri ya Mji
wa Bariadi.
Shukrani
hizo zimetolewa na Kaimu Mwenyekiti wa Baraza...
Thursday, May 24, 2018
Thursday, May 24, 2018
RC MTAKA ASHAURI TFDA KUFUNGUA OFISI KATIKA MIKOA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka
ameishauri Mamlaka ya Chakula na Dawa hapa nchini (TFDA) kufungua Ofisi katika
Mikoa ili kusogeza huduma karibu na wananchi na kuongeza ufanisi hususani
katika kipindi hiki ambacho Serikali ya awamu ya Tano inahimiza utekelezaji wa
ajenda ya Viwanda.
Mtaka...