Mkuu wa
Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka ametoa wito kwa wananchi mkoani humo kujitokeza
kupata huduma ya upimaji wa magonjwa yasiyaombukiza katika banda la Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima
Nanenane yatakayofanyika Kitaifa mwaka
2018...
Tuesday, July 31, 2018
Monday, July 30, 2018
Monday, July 30, 2018
KAMATI YA SIASA YA CCM SIMIYU YAELEZA KURIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANENANE KITAIFA
Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM
) mkoa wa Simiyu imeelezea kuridhishwa na Maandalizi ya Maonesho ya Kilimo na
Sherehe za Wakulima (Nanenane) yatakayofanyika Kitaifa mwaka 2018 Mkoani
humo, katika Uwanja wa Nyakabindi Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti...
Sunday, July 29, 2018
Sunday, July 29, 2018
JKT YAJIPANGA KUFUNDISHA WANANCHI TEKNOLOJIA ZA UFUGAJI SAMAKI MAONESHO YA NANENANE SIMIYU
Naibu Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa(SUMA JKT),
Luteni Kanali Peter Lushika amesema
JKT limedhamiria kuwafundisha
wananchi watakaofika Uwanja wa Nanenane Nyakabindi Bariadi Mkoani Simiyu, teknolojia mbalimbali za
ufugaji...
Saturday, July 28, 2018
Saturday, July 28, 2018
SIMIYU YAJIPANGA KUONGEZA UFAULU MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2018
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony
Mtaka amesema mkoa huo umedhamiria kuongeza ufaulu na kufikia nafasi ya kwanza
hadi ya tisa (single digit) katika matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka
2018.
Mtaka ameyasema hayo katika kikao kati
yake na Wakuu wa Shule za Sekondari mkoani Simiyu chenye...
Friday, July 27, 2018
Friday, July 27, 2018
WAZIRI MKUCHIKA AAGIZA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA KUANZISHA VITUO VYA URASIMISHAJI NA UENDELEZAJI BIASHARA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika ameziagiza halmashauri
zote nchini kutenga maeneo ya uanzishwaji vituo vya urasimishaji biashara
kwa wananchi ili waweze kuondokana na umasikini.
Agizo hilo...