Wastaafu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
wamewaasa watumishi wa umma kumtanguliza Mungu, kuwa waadilifu na kujituma ili
waweze kutimiza wajibu wao sawa sawa kwa maslahi yao binafsi na Taifa kwa
ujumla.
Hayo yamebainishwa na Bw. Elias Kasuka ambaye kwa
sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa...
Saturday, August 29, 2020
Saturday, August 29, 2020
WASTAAFU WAWAASA WATUMISHI WA UMMA KUMTANGULIZA MUNGU, KUWA WAADILIFU NA KUJITUMA
Saturday, August 29, 2020
SIMIYU YAAHIDI KUSHIRIKI KIKAMILIFU MAULIDI YA KITAIFA MWAKA 2020 MKOANI KAGERA
Mkoa wa Simiyu umeahidi kushiriki kikamilifu katika
maandalizi ya Maulidi ya Kitaifa inayotarajia kufanyika Oktoba mkoani Kagera.
Kauli
hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga Agosti 28,
2020 wakati akizungumza na baadhi ya viongozi wa BAKWATA wa Mikoa ya Simiyu na
Kagera...
Thursday, August 27, 2020
Thursday, August 27, 2020
SUA YAAHIDI KUSAIDIA KUANZISHA KITUO CHA KUPIMA KIFUA KIKUU KWA KUTUMIA PANYA SIMIYU
Chuo
Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) kimeahidi kuwa kiko tayari kuanzisha kituo cha kupima makohozi
kwa kutumia panya waliofundishwa kubaini vijidudu vya Ugonjwa wa Kifua
Kikuu ambao wanaweza kupima sampuli nyingi kwa wakati mmoja ikilinganishwa na
vipimo vya maabara.
Hayo yamebainishwa...
Thursday, August 27, 2020
KATAVI WAFANYA ZIARA SIMIYU KUJIFUNZA NAMNA YA KUFANYA MAONESHO YA NANENANE
Timu ya wataalam kutoka Mkoa wa Katavi imefanya ziara Agosti 26, 2020 mkoani Simiyu kwa lengo la
kujifunza namna kufanya Maonesho ya Kilimo na Sherehe za Wakulima (Nanenane)
ambayo yamefanyika Kitaifa kwa miaka mitatu mfululizo (2018-2020) mkoani hapa.
Akizungumza na wataalam hao Katibu Tawala...
Thursday, August 27, 2020
DCP KADASHARI AFANYA ZIARA SIMIYU KUKAGUA UTAYARI WA POLISI
Kaimu
Kamishina wa Fedha na Logistiki wa Jeshi la Polisi ambaye pia ni mlezi wa mikoa
ya Kipolisi ya Simiyu, Geita, Kagera, Mara, Mwanza na Tarime, Dhahiri
Kidavashari amefanya ziara Agosti 26, 2020 mkoani Simiyu.
Katika
ziara yake amekutana na viongozi na askari wa Jeshi la polisi Viongozi...