Wastaafu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
wamewaasa watumishi wa umma kumtanguliza Mungu, kuwa waadilifu na kujituma ili
waweze kutimiza wajibu wao sawa sawa kwa maslahi yao binafsi na Taifa kwa
ujumla.
Hayo yamebainishwa na Bw. Elias Kasuka ambaye kwa
sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa Kilimo Mkuu baada ya kutumika
kwa miaka 35 na Bw. Godfrey Machumu ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama
Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
37 katika Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu
hao wa mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi.
“Katika Utumishi wa Umma hampashwi kukata tamaa,
binafsi nimeanzia mbali nikajiendeleza sikujali umri wangu, kikubwa ni
kumtanguliza Mwenyezi Mungu katika kazi zenu mtafanikiwa tu,” alisema Bw.
Godfrey Machumu.
“Siri kubwa ya kufikia mpaka kustaafu kwangu ni kufanya
kazi kwa bidii na uadilifu, nilifanya kazi bila kusukumwa mfano mzuri ni kwa
namna nilivyoshiriki kuandaa Maonesho ya nanenane mwaka 2018 na 2019 ; pia
nawashauri mheshimu wakubwa kwa wadogo,” alisema Bw. Elias Kasuka.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi.Miriam Mmbaga
amewapongeza wastaafu hao kwa utumishi uliotukuka mpaka kufikia kustaafu huku
akitoa wito kwa watumishi wengine kuiga mema waliyojifunza kupitia utumishi wa
wastaafu hao ikiwa ni pamoja na kuona umuhimu wa kujiendeleza kielimu wakiwa
kazini na kujiendeleza kimaisha.
Katika hatua nyingine Bi. Mmbaga amewaasa watumishi
kuishi na watu wote vizuri huku akisisitiza umuhimu wa kuacha alama katika kazi
zao wanazofanya ili hata watakapo staafu
wakumbukwe kwa alama walizoacha kwenye maeneo waliyofanyia kazi.
MWISHO
Katibu Tawala wa Mkoa
wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga akimkabidhi cheti cha Utumishi uliotukuka Bw. Elias
Kasuka ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa Kilimo Mkuu baada
ya kutumika kwa miaka 35, katika Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu kwa mwaka
2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi, kushoto ni Katibu Tawala
Msaidizi Sehemu ya utawala na Rasilimaliwatu Bw. Ekwabi Mujungu.
Katibu Tawala wa Mkoa
wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga akimkabidhi cheti cha Utumishi uliotukuka Bw.
Godfrey Machumu ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama
Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
37, katika Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu kwa mwaka 2019/2020 iliyofanyika
Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi. Bw. Godfrey Machumu(wa
pili kulia) ambaye kwa sasa amestaafu
utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu Mkuu
baada ya kutumika kwa miaka 37,akionesha cheti cha utumishi uliotukuka
alichokabidhiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu(wa pili kushoto) katika
Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu kwa mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28,
2020 Mjini Bariadi.
Bw. Elias Kasuka ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa
Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
35,akionesha cheti cha utumishi uliotukuka alichokabidhiwa na Katibu Tawala wa
Mkoa wa Simiyu(wa pili kushoto) katika Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu kwa
mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi. Katibu Tawala Msaidizi
Sehemu ya utawala na Rasilimaliwatu Bw. Ekwabi Mujungu akitoa maelezo mafupi
kuhusu wastaafu wawili Bw. Elias Kasuka
ambaye kwa sasa amestaafu
utumishi wa umma akiwa kama Afisa Kilimo Mkuu
baada ya kutumika kwa miaka 35 na Bw. Godfrey Machumu ambaye kwa sasa
amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu
Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37, katika Hafla fupi ya kuwapongeza
wastaafu hao wa mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi.
Katibu Tawala wa Mkoa
wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga akizungumza na watumishi wa Ofisi ya mkuu wa Mkoa
wa Simiyu katika kikao chake na watumishi hao ambacho kilitumika kama sehemu ya
kuwapongeza wastaafu wawili Bw. Elias Kasuka
ambaye kwa sasa amestaafu
utumishi wa umma akiwa kama Afisa Kilimo Mkuu
baada ya kutumika kwa miaka 35 na Bw. Godfrey Machumu ambaye kwa sasa
amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu
Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37, kilichofanyika Agosti 28, 2020
Mjini Bariadi. Kutoka kushoto Katibu
Tawala Msaidizi Sehemu ya utawala na Rasilimaliwatu Bw. Ekwabi Mujungu, :- Bw.
Elias Kasuka ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa
Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
35, Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga na Bw. Godfrey Machumu
ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37,
wakiagana baada ya Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu hao wa mwaka 2019/2020
iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi. Katibu Tawala wa Mkoa
wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga (katikati kwa walioketi) akiwa katika picha ya
pamoja na Bw. Elias Kasuka (wa pili
kushoto walioketi) ambaye kwa sasa
amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 35, Bw. Godfrey
Machumu (wa pili kulia) ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama
Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
37 na mkewe pamoja na watumishi wengine wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
baada ya Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu hao wa mwaka 2019/2020 iliyofanyika
Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi.
Kutoka kushoto Katibu
Tawala Msaidizi Sehemu ya utawala na Rasilimaliwatu Bw. Ekwabi Mujungu, Bw. Elias Kasuka ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa Kilimo
Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 35,
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga na Bw. Godfrey Machumu
ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37, katika
picha ya pamoja baada ya Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu hao wa mwaka
2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi. Kutoka kushoto Katibu
Tawala Msaidizi Sehemu ya Uchumi na Uzalishaji, Dkt. Gamitwe Mahaza, Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya utawala na
Rasilimaliwatu Bw. Ekwabi Mujungu, Bw.
Elias Kasuka ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa
Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
35, Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga na Bw. Godfrey Machumu
ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37 na
Mhasibu Mkuu wa Mkoa, Bw. Francis Makombe katika picha ya pamoja baada ya Hafla fupi ya
kuwapongeza wastaafu hao wa mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini
Bariadi.
Katibu Tawala Msaidizi
Sehemu ya utawala na Rasilimaliwatu Bw. Ekwabi Mujungu(kulia) akiteta jambo na
Bw. Godfrey Machumu ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama
Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
37 baada ya Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu wa mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28,
2020 Mjini Bariadi.
Katibu Tawala Msaidizi
Sehemu ya utawala na Rasilimaliwatu Bw. Ekwabi Mujungu akitoa maelezo mafupi
kuhusu wastaafu wawili Bw. Elias Kasuka
ambaye kwa sasa amestaafu
utumishi wa umma akiwa kama Afisa Kilimo Mkuu
baada ya kutumika kwa miaka 35 na Bw. Godfrey Machumu ambaye kwa sasa
amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu
Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37, katika Hafla fupi ya kuwapongeza
wastaafu hao wa mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi. Katibu Tawala wa Mkoa
wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga akimkabidhi zawadi ya shilingi 1,000,000/=
kwa Utumishi uliotukuka Bw. Godfrey
Machumu ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37, katika
Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu kwa mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28,
2020 Mjini Bariadi. Katibu Tawala wa Mkoa
wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga akimkabidhi zawadi ya shilingi 1,000,000/=
kwa Utumishi uliotukuka Bw. Elias Kasuka
ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37, katika
Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu kwa mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28,
2020 Mjini Bariadi.
Bw. Elias Kasuka ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa
Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
35,akionesha cheti cha utumishi uliotukuka alichokabidhiwa na Katibu Tawala wa
Mkoa wa Simiyu(katikati) katika Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu kwa mwaka
2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi. Bw. Elias Kasuka ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa
Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
35, akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu mara baada ya
kupokea zawadi ya cheti cha utumishi
uliotukuka na fedha taslimu shilingi 1,000,000/=kutoka kwa Katibu Tawala wa
Mkoa wa Simiyu(wa pili kushoto) katika Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu kwa
mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi.
Bw. Godfrey
Machumu ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu
Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37,
akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu mara baada ya
kupokea zawadi ya cheti cha utumishi
uliotukuka na fedha taslimu shilingi 1,000,000/=kutoka kwa Katibu Tawala wa
Mkoa wa Simiyu(wa pili kushoto) katika Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu kwa
mwaka 2019/2020 iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi. Baadhi ya watumishi wa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu wakifuatilia maelezo mafupi ya wastaafu Bw.
Godfrey Machumu ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu
Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37 na Bw. Elias Kasuka ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa
Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
35, katika Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu hao wa mwaka 2019/2020
iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi. Baadhi ya watumishi wa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu wakifuatilia maelezo mafupi ya wastaafu Bw.
Godfrey Machumu ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Mhasibu
Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 37 na Bw. Elias Kasuka ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa
Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
35, katika Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu hao wa mwaka 2019/2020
iliyofanyika Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi. Katibu Tawala wa Mkoa
wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga (katikati kwa walioketi) akiwa katika picha ya
pamoja na Bw. Elias Kasuka (wa pili
kushoto walioketi) ambaye kwa sasa
amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 35, Bw. Godfrey
Machumu (wa pili kulia) ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama
Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
37 na mkewe pamoja na watumishi wengine wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
baada ya Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu hao wa mwaka 2019/2020 iliyofanyika
Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi.
Katibu Tawala wa Mkoa
wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga (katikati kwa walioketi) akiwa katika picha ya
pamoja na Bw. Elias Kasuka (wa pili
kushoto walioketi) ambaye kwa sasa
amestaafu utumishi wa umma akiwa kama Afisa Kilimo Mkuu baada ya kutumika kwa miaka 35, Bw. Godfrey
Machumu (wa pili kulia) ambaye kwa sasa amestaafu utumishi wa umma akiwa kama
Mhasibu Mkuu baada ya kutumika kwa miaka
37 na mkewe pamoja na watumishi wengine wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
baada ya Hafla fupi ya kuwapongeza wastaafu hao wa mwaka 2019/2020 iliyofanyika
Agosti 28, 2020 Mjini Bariadi.
0 comments:
Post a Comment