Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga amesema Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli Agosti 8, 2019 ,anatarajiwa
kuzindua kanzi data ya usajili wa wakulima kupitia mazao nane ya kimkakati, itakayosaidia
kujua idadi ya wakulima sambamba na wakulima kujua takwimu...
Wednesday, July 31, 2019
Wednesday, July 31, 2019
RAIS MAGUFULI KUZINDUA KAZI DATA YA WAKULIMA NANENANE KITAIFA SIMIYU: WAZIRI HASUNGA
Thursday, July 25, 2019
Thursday, July 25, 2019
MAKAMU WA RAIS KUFUNGUA MAONESHO YA NANENANE KITAIFA 2019 MKOANI SIMIYU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa
Maonesho ya Nanenane Kitaifa mwaka 2019, yatakayofanyika Kanda ya Ziwa
Mashariki katika Viwanja vya Nyakabindi Mjini Bariadi kuanzia tarehe 29/07/2019
hadi 08/08/2019.
Hayo...
Thursday, July 25, 2019
MAONESHO YA NANENANE KITAIFA 2019 YATABORESHWA ZAIDI YA MWAKA 2018: RC MARA
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Malima amesema Mikoa
ya Simiyu, Mara na Shinyanga inayounda Kanda ya Nanenane ya Ziwa Mashariki
imekusudia kuboresha zaidi maonesho ya Nanenane Kitaifa mwaka 2019 ambayo yanafanyika kwa mara ya pili sasa
katika kanda hii kwenye Viwanja vya Nyakabindi Bariadi Mkoani...
Sunday, July 21, 2019
Sunday, July 21, 2019
NEC KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JULAI 31, MKOANI SIMIYU
Tume ya
Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuanza rasmi zoezi la Uboreshaji wa Daftari la
kudumu la wapiga kura mkoani Simiyu kuanzia Julai 31, 2019 hadi Agosti 06, 2019 ambapo
zoezi hilo kitaifa lilizinduliwa rasmi Julai 18, 2019.
Akifungua
mkutano wa wadau wa Uchaguzi mkoani Simiyu, Mwenyekiti...