Wakala
wa Usajili, Udhamini na Ufilisi (RITA) unatarajia kusajili na kutoa vyeti vya
kuzaliwa kwa wanafunzi 60,000 wa shule za Msingi za Sekondari wilayani Bariadi
mkoani Simiyu, kupitia Mpango wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto
wa miaka 06 hadi 18.
Hayo
yamebainishwa na Kaimu Afisa...
Wednesday, August 29, 2018
Wednesday, August 29, 2018
RITA KUSAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA ZAIDI YA WANAFUNZI 60,000 WILAYANI BARIADI
Monday, August 27, 2018
Monday, August 27, 2018
DARASA LA SABA SIMIYU WAOMBA WASIMAMIZI WENYE TABIA YA KUWATISHA WATAHINIWA WAACHE
Wanafunzi wa darasa la saba shule za
msingi za Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu wamemuomba Mkuu wa Mkoa,
Mhe Anthony Mtaka, kuwataka wasimamizi
wa Mtihani wa Taifa wenye tabia ya kuwatisha wanafunzi wakiwa katika chumba cha
mtihani waache tabia hiyo ili wanafunzi wafanye Mtihani...
Tuesday, August 21, 2018
Tuesday, August 21, 2018
HALMASHAURI ZAKARIBISHA WAWEKEZAJI KWENYE VIWANJA VINAVYOPIMWA MKOANI SIMIYU
Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Halmashauri ya Wilaya
ya Busega na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu zinawakaribisha
wawekezaji na wafanyabiashara kuwekeza kwenye jumla ya viwanja 3758
vilivyopimwa na vinavyotarajiwa kupimwa kwa nyakati tofauti.
Hayo yamebainishwa na Viongozi wa Halmashauri...
Tuesday, August 21, 2018
SIMIYU YAJIPANGA KUUFANYA MRADI WA UMWAGILIAJI MWASUBUYA KUWA WA MFANO, KUBADILISHA MAISHA YA WANANCHI
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony
Mtaka amesema Serikali mkoani humo imedhamiria kuutumia Mradi wa Uwagiliaji wa Mwasubuya
kubadilisha maisha ya wananchi wilayani Bariadi, kupitia kilimo cha kisasa kinachotumia
zana za kisasa na kuufanya kuwa mradi wa mfano ambao watu wateanda kujifunza.
Mtaka...
Tuesday, August 21, 2018
RC MTAKA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOANI SHINYANGA
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
Mhe. Anthony Mtaka amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe.
Zainab Taleck na kumhakikishia Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka
2018 Ndg. Charles Kabeho kuwa atachukua hatua dhidi ya mapungufu yaliyobainika
wakati Mwenge wa Uhuru...