Mkoa
wa Simiyu utahakikisha vifo vya akina mama wajawazito na watoto
wachanga vinapungua kwa kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imewekeza
na kutumia gharama kubwa katika kuandaa wataalam(wakunga) wenye jukumu la kuhakikisha
wanatoa huduma zitakazotoa majibu sahihi ya utatuzi wa changamoto...
Saturday, September 29, 2018
Saturday, September 29, 2018
SERIKALI MKOANI SIMIYU YAJIPANGA KUDHIBITI ONGEZEKO LA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO
Saturday, September 29, 2018
SIMIYU YADHAMIRIA KUWAKOMBOA WAFUGAJI KWA KUWASAIDIA WAFUGE KISASA
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka
amewataka wataalamu wa mifugo na kilimo kuachana na utamaduni wa kufanya kazi
kwa mazoea huku akiwataka kuongeza ubunifu sambamba na kupanua wigo wa kutoa
elimu kwa wafugaji ili kuongeza ufanisi katika sekta hiyo ambayo ni ya pili
katika kuchangia pato...
Friday, September 28, 2018
Friday, September 28, 2018
RC MTAKA APONGEZA GEITA KWA UBUNIFU KUFANYA MAONESHO YA KIPEKEE YA DHAHABU NCHINI
Mkuu wa
Mkoa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewapongeza viongozi wa Mkoa wa Geita
wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Mhandisi. Robert Gabriel kwa ubunifu waliofanya wa kufanya Maonesho
ya Kipekee ya Teknolojia Bora ya dhahabu hapa nchini.
Mtaka
ameyasema hayo mara baada ya kuzungumza na...
Tuesday, September 25, 2018
Tuesday, September 25, 2018
VIFO VYA WATOTO WACHANGA VYAPUNGUA SIMIYU
Vifo vya Watoto Wachanga
mkoani Simiyu vimepungua kutokana na Serikali kutoa elimu ya uzazi na wazazi
kuanza kujifungulia katika vituo vya kutolea huduma ya afya.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye semina ya
Mkunga Okoa Maisha iliyofanyika mwishoni mwa wiki jana mjini Bariadi, Katibu wa
Wakunga...
Saturday, September 22, 2018
Saturday, September 22, 2018
RC MTAKA, ASKOFU KANISA LA SDA WATOA SALAMU ZA POLE KUFUATIA AJALI YA MV NYERERE
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka na Askofu
wa Kanisa la Waadventista Wasabato Jimbo la Kusini mwa Tanzania, Mark Malekana,wametoa
salamu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongela, wananchi wa Mwanza
pamoja...